NIDA, KUTOA VITAMBULISHO KWA WALEMAVU KINONDONI

Na Elizabeth Joachim, Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amezindua zoezi la uandikishwaji  wa Vitambulisho vya Taifa kwa watu wenye ulemavu ili kuwarahisishia kupata huduma hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo leo Septemba 12, katika viwanja vya Shule ya msingi Makurumla iliyopo  kata ya Ndugumbi wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam, amesema mpaka sasa asilimia 60 ya wananchi wameshaandikishwa ili kupata vitambulisho vya taifa. “Kumekuwa na changamoto kwa watu wenye ulemavu katika kujiandikisha usajili wa vitambulisho vya Taifa hasa  pale unapokuta walemavu wamekaa sehemu moja...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News