NIDA, TCRA na Makampuni ya Simu nchini kuwezesha zoezi la uandikishaji wa watumiaji wa simu kwa kutumia Namba za Utambulisho wa Taifa

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Makampuni ya Simu nchini, itawezesha zoezi la uandikishaji wa watumiaji wa simu nchini kwa kutumia Namba za Utambulisho wa Taifa au Kitambulisho cha Taifa.  Zoezi la Uandikishaji wa laini za simu linatarajia kufanyika kuanzia tarehe 01-Mei-2019. Mazoezi ya majaribio ya zoezi hili yamefanyika katika baadhi ya Mikoa na Taasisi na kuonyesha mafanikio.NIDA tayari imesajili asilimia 88 ya watu wote wanaostahili kusajiliwa kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa nchi nzima. Zoezi la Utambuzi na usajili ni endelevu, hivyo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News