Niyonzima roho kwatu, aitaja Yanga

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa zamani wa Yanga na Simba, Haruna Niyonzima, amesema kuwa amefurahisha kupata nafasi ya kucheza katika ligi ya nyumbani kwao, akidai ndiyo sehemu aliyopanga kutundikia daluga muda ukifika. Niyonzima juzi jioni alijiunga rasmi na timu ya AS Kigali inayoshiriki Ligi Kuu nchini kwao Rwanda kwa mkataba wa mwaka mmoja, ikiwa ni baada ya kumaliza kandarasi yake na Simba. Akizungumza na BINGWA jana, Niyonzima alisema kurejea nchini kwao na kupata timu ya kucheza ni moja ya mafanikio kwake, hasa baada ya klabu yake ya zamani ya Simba...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 12 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News