Nyaraka za TRA zazua jambo kesi ya Aveva, Kaburu, Hanspoppe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Aprili 29, mwaka huu kutoa uamuzi iwapo itapokea nyaraka za mamlaka ya mapato (TRA) kama kielelezo cha ushahidi katika kesi inayowakabili vigogo wa Simba, aliyekuwa Rais wa klabu hiyo,  Evans Aveva,  Makamu wa wake,  Geofrey Nyange na Mwenyekiti wa  Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hans Pope....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News