Nyati avamia mtaa, azua taharuki

Walter Mguluchuma -Katavi WAKAZI wa Mtaa wa Kilimahewa, Manispaa ya Mpanda, jana walikumbwa na taharuki baada ya kuvamiwa na nyati na kulazimika kujifungia ndani  ya nyumba zao. Mwenyekiti wa mtaa huo, Cristophar Masumo,   alisema tukio hilo lilionekana kuwapa mshtuko wananchi, huku wanafunzi wakishindwa kwenda shule. Alisema tukio hilo lilitokea jana saa 2 asubuhi Mtaa wa Kilimahewa jirani na Shule ya Sekondari Shanwe. Mmoja wa wakazi wa mtaa huo, Lina Philemon,  alisema alikuwa akiosha vyombo nyumbani kwake, akafuatwa na jirani yake na kumwambia amemwona ng’ombe  amelala  jirani na  nyumba yake. Alisema...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News