Nyoni awatuliza mashabiki Simba

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM BEKI wa Simba, Erasto Nyoni, amesema anaamini kila kitu kitakwenda sawa kati yake na Wekundu hao kuhusu mkataba mpya wa kuendelea kubakia Msimbazi. Mkataba wa miaka miwili wa Nyoni kuichezea Simba unaelekea  ukiongoni na kwa sasa kiraka huyo yuko nchini Misri akiwa na kikosi cha  Taifa Stars kinachosubiri kushiriki fainali za mataifa ya Afrika(Afcon), ambayo itapigwa  nchini humo kuanzia Juni 21 hadi Julai 19 mwaka huu. Akizungumza na MTANZANIA jana, Nyoni alisema mazungumzo kati yake na uongozi wa Simba yanaenda poa, lakini kwa sasa ameelekeza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News