Nyota nane Yanga kuikosa Mbeya City, U20 kuokoa Jahazi

NA LULU RINGO, DAR ES SALAAM Wachezaji nyota nane wa kikosi cha kwanza cha Yanga, wataikosa mechi ya leo Mei 22 ya Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City kutokana na kusumbuliwa na maradhi mbalimbali. Akizungumza na Mtanzania Digital leo Mei 22, Mratibu wa klabu ya Yanga, Hafidhi Salehe amewataja wachezaji hao kuwa ni Ibrahim Ajib, Mrisho Ngasa, Andrew Vicent, Juma Makapu, Juma Abdul, Mohamed Banka, Gadiel Michael na Paul Godfrey. “Katika mchezo wa leo tutawakosa wachezaji wetu muhimu wa kikosi cha kwanza wengi wao wanasumbuliwa na homa isipokuwa Gadiel...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News