Ofisa elimu ataja dawa ya kumaliza ufaulu duni mkoani kwake

Ofisa elimu Mkoa wa Mara, Emmanuel Kasongo ametangaza ‘kula weekend’ yake ya Jumamosi na Jumapili akitembelea shule tatu za mkoa huo zilizoshika nafasi tatu kati ya shule 10 za mwisho katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana Alhamisi Julai 11, 2019....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News