Ofisa TAKUKURU Atiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumbaka na kumlawiti Mtoto wa Dada yake

Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Rukwa, Jonas Jackson (34) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka na kisha kumlawiti mtoto wa dada yake aliyekuwa akiishi naye.Ofisa huyo alikamatwa Februari 7, 2019 baada ya mtoto huyo kwenda kuripoti kituo kikuu cha polisi mjini Sumbawanga kufuatia kuchoka kufanyiwa vitendo hivyo.Kamanda wa polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa jana Jumatatu Februari 11, 2019 baada ya mlalamikaji mwenye umri miaka 18, kwenda polisi kutoa taarifa ya vitendo vya unyanyasaji anavyofanyiwa.Msichana huyo amedai amekuwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News