Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kuhamia Kwenye Vibanda

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa afisa wa TBA Haruna Kalunga (kulia) wakati alipotembelea ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya kalambo.  Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Julieth Binyura amemkaribisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo katika ofisi yake mpya anayotarajia kuhamia mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka 2019 huku ikiwa zimebaki asilimia 10 kumalizika kwa jengo hilo tofauti na ofisi ya mpya ya Mkurugenzi ambayo bado ipo katika hatua za awali za ujenzi.Mh. Binyura aliwashukuru wakandarasi Suma JKT...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News