Omar al-Bashir Ashitakiwa Kwa Mauaji

Mwendesha mashtaka wa umma nchini Sudan amemshitaki rais aliyeondolewa madarakani Omar al-Bashir kwa makosa ya kuchochea na kuhusika na mauaji ya waandamanaji.Mashtaka hayo yametokana na uchunguzi uliofanywa kuhusu kifo cha ddaktari aliyeuawa wakati wa maandamano yaliyosababisha kumalizika kwa utawala wake mwezi uliopita.Hatma ya Bwana Bashir haijawa wazi. Aliripotiwa kutiwa nguvuni mara baada ya kupinduliwa.  Anakabiliwa pia na uchunguzi juu ya madai ya wizi wa pesa na kudhamini ugaidiMnamo mwezi Disemba, waandamanaji walianza maandamanano dhidi ya uamuzi wa serikali wa kupandisha mara tatu kwa bei ya mkate.Maandamano hayo ghafla yalibadilika kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News