Pamba SC kuikabili Kagera Sugar CCM kirumba

Klabu ya Pamba Fc leo watashuka dimba la CCM Kirumba kupambana na Klabu inayoshiriki ligi kuu bara Kagera Sugar inayonolewa na Mecky Mexime. Pamba Fc ambao ni Mabingwa mara moja ligi kuu Tanzania mwaka 1990 na mabingwa mara mbili wa Nyerere Cup ambapo kwa sasa linajulikana kama Azam Federetion Cup mwaka 1989 na 1992 watashuka dimba leo muda wa saa 10 katika dimba hilo kwa kiingilio cha 2000 tu. Maendeleo ya soka kanda ya ziwa? Msemaji wa chama cha Soka mkoa wa Mwanza amesema sasa hamasa ya soka kanda ya...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News