PANCHO LATINO ALIONYA KUSIFIWA BAADA YA KUFA

CHRISTOPHER MSEKENA na JEREMIA ERNEST SIKU moja baada ya kufariki dunia alipokuwa akiogelea katika fukwe za Kisiwa cha Mbudya, Dar es Salaam, mtayarishaji wa muziki nchini, Pancho Latino, kupitia ujumbe aliouandika Twitter, Aprili 29, mwaka huu, uliwaonya wadau wa muziki kuacha tabia ya kusifia na kusapoti kazi za wasanii wanapokuwa hawapo duniani. Ujumbe huo uliokuwa gumzo katika tasnia ya burudani, Pacho Latino alionyesha kuchukizwa na tabia hiyo ambayo ilimkatisha tamaa kwa kusema: “Kuna Watanzania hawawezi kukubali kipaji chako mpaka watu wa nje au ufe ndiyo wanaanza sifa na kukusifia, ni...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News