Panga la maproo Simba hilooo, Kotei abaki

NA MWAMVITA MTANDA PANGA la wachezaji wa kigeni wa Simba, litajulikana kuanzia leo, kwa uongozi wa klabu hiyo kuweka hadharani majina yao. Msimu uliopita, Simba walisajili wachezaji 10 wa kigeni, akiwemo Emmanuel Okwi, James Kotei, Jjuko Murshid, Haruna Niyonzima, Nicholas Gyan, Pascal Wawa, Meddie Kagere, Zana Colibaly, Clatous Chama na Asante Kwasi. Hata hivyo, baadhi ya wachezaji hao hawatakuwemo katika kikosi kijacho cha Simba kwasababu tayari nafasi zao zimeshazibwa. Wachezaji wa nje waliosajiliwa hadi sasa ni Wilker da Silva na Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman. Habari za uhakika kutoka ndani...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Sunday, 23 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News