PAPA FRANCIS KUKUTANA NA VIONGOZI KANISA KATOLIKI MAREKANI

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, kesho anatarajiwa kukutana na viongozi wa Kanisa katoliki la Marekani, kuzungumzia sakata la kashfa ya ngono iliyolikumba kanisa hilo. Kanisa hilo limekubwa na kashfa hiyo pamoja na vitendo vya kuficha madai hayo yaliyotolewa kwa miaka mingi. Mkutano huo na Papa Francis, unafanyika huku kukiwa na shinikizo la balozi mstaafu wa Vatican nchini Marekani na askofu Mkuu, Carlo Maria Vigano akimtaka papa huyo ajiuzulu. Wawili hao wanadai kwamba Papa, miaka mingi iliyopita papa alikuwa akijua ukweli wa taarifa ya aliyekuwa askofu mkuu, Theodore...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News