Papa Francis, Viongozi Kanisa Katoliki Marekani kujadili kashfa ya ngono

Papa Francis anatarajiwa kukutana Alhamisi na viongozi wa Kanisa Katoliki la Marekani, kuzungumzia kashfa ya ngono iliyo likumba kanisa hilo nchini Marekani, na vitendo vya kuficha madai hayo yaliyotolewa kwa miaka mingi dhidi ya mamia ya mapadri....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News