Papaa Zahera awapa 5 Msolla, Mwakalebela

NA MWAMVITA MTANDA WAKATI kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, akiwa katika majukumu ya timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye michuano ya Kombe la Afrika inayoendelea nchini Misri, ametega sikio kujua usajili unaondelea kwa klabu yake. Zahera ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya DRC ambayo juzi ilifungwa mabao 2-0 na Uganda katika mchezo wa kwanza wa AFCON, anapata mawasiliano yote kuhusu usajili wa wachezaji unaoendelea Yanga kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga kwasasa wako katika...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Sunday, 23 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News