Pele afanyiwa upasuaji wa figo

SAO PAULO, BRAZIL MKONGWE wa soka nchini Brazil, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’, amefanikiwa kufanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Sao Paulo nchini humo baada ya kuugua kwa wiki mbili. Mchezaji huyo wa zamani ambaye ameacha historia kubwa, alianza kuugua akiwa nchini Ufaransa wiki iliyopita na kukimbizwa hospitalini, kabla ya mwishoni mwa wiki iliopita kuruhusiwa kurudi nchini Brazil kwa ajili ya matibabu zaidi. Kwa mujibu wa mtandao wa Hospitali ya Albert Einstein, wameweka wazi kuwa, kila kitu kimekwenda sawa na hali ya gwiji huyo wa soka inaendelea vizuri. Kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News