Pep ana bonge la ofa mezani

MAISHA yanataka nini tena. Pep Guardiola mambo yananyooka na Man City kwa sasa imepanga kufanya chochote kinachowezekana kuhakikisha anaendelea kubaki kwa muda mrefu hata kwa kutumia pesa. Man City imepanga kumbakiza Guardiola kwa miaka mitano zaidi huko Etihad....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 21 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News