Petroli, diseli, mafuta ya taa sasa ni kitanzi

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) imetangaza ongezeko la bei za mafuta ya petroli, diseli na mafuta ya taa, yaliyoshushwa katika bandari ya Dar er Salaam na Tanga. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza bei za mafuta kwa mwezi Novemba mwaka huu jana jijini Dar es Salaam, Meneja Mawasiliano EWURA, Titus Kaguo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News