Pierre Buyoya: Siogopi kusafirishwa na nchi yoyote kujibu mashitaka yanayonikabili Burundi

Rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya, anayekabiliwa na mashitaka ya mauaji ya rais wa kwanza wa Burundi kutoka kabila la Wahutu Melchior Ndadaye mnamo mwaka 1993, anasema haogopi kusafirishwa nchini Burundi kujibu mashitaka yanayomkabili....

read more...

Share |

Published By: RFI France - Tuesday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News