Pigo lingine Chadema, Ndugai amvua ubunge Nassari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amemwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Joshua Nasari Chadema,Jimbo hilo lipo wazi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Alisema Jimbo hilo lipo wazi kutokana mbunge huyo kupoteza sifa ya kuwa mbunge kutokana na kitendo chake cha kutohudhuria mikutano mitatu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News