Pigo lingine kwa Maalim Seif, mahakama yamtambua Prof. Lipumba  

HATIMAYE Mahakama Kuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 18 Machi 2019 imetoa uamuzi kwamba, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akitoa ufafanuzi wakati wa kusoma uamuzi wa mahakama hiyo kuhusu uenyekiti wa Prof. Lipumba, Jaji Benhajj Masoud wa mahakama hiyo amesema, Ofisi ya Msajili ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News