Polepole: Mwaka 2020 ni Magufuli

MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kuwa alichokifanya Rais Dk. John Magufuli kwa kipindi hiki kifupi alichokaa madarakani, ni dhahiri hakuna mwingine atakayepewa ridhaa na chama zaidi yake kugombea tena urais mwaka 2020. Polepole alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam, katika mahojiano na kituo kimoja cha redio. Alisema CCM haina sababu ya kupitisha mgombea mwingine ikiwa Rais Magufuli amefanya vitu vikubwa na bado ana uwezo na nguvu ya kulitumikia taifa. “Mwaka 2020 hatuna shaka katika nafasi ya urais mgombea wetu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News