Polepole: "Ni dhambi kuchukua sifa isiyo yako, Aliyesimamia Swala la Kikokotoo ni Rais Magufuli na Siyo Bulaya"

Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi -CCM Humphrey Polepole  amepinga suala la Mbunge wa Bunda Mjini kutambuliwa na kupewa sifa kwamba aliwatetea wafanyakazi juu ya mafao kwa kipinga hadharani kikokotoo kipya na badala yake itambuliwe serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli.Polepole amesema kwamba aliyesimama na jambo la kikokotoo tangu mwanzo ni serikali ya CCM na aliyehitimisha jambo hilo ni Rais Magufuli mwenyewe.Ameongeza kwamba Rais Magufuli baada ya kusikiliza maoni ya wawakilishi na baadhi ya viongozi wa wafanyakazi akaamua kufanya maamuzi ambapo pia aliweka utaratibu na utaratibu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News