Polisi Pwani Yaua Majambazi Wanne Baada Ya Majibizano Ya Risasi

Na Mwamvua Mwinyi,kibaha VijijiniJESHI la Polisi Mkoani Pwani, limefanikiwa kuua majambazi wanne katika tukio la majibizano ya risasi baina ya polisi na majambazi hayo huko eneo la Kwala , Wilaya ya Kipolisi Mlandizi.  Kamanda wa polisi mkoani hapa,Wankyo Nyigesa alisema, tukio hilo la kuuawa kwa majambazi hayo limetokea jana majira ya saa 8 mchana baada ya taarifa kulifikia Jeshi la Polisi kuwa wapo watu wamepanga kwenda kuvamia na kupora fedha ambazo zilikuwa zimepangwa kwenda kulipwa kwa wanaojenga Bandari Kavu ya Kwala.  “Ndipo Jeshi la Polisi Mkoani hapa tuliweka mtego na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News