Polisi watoa notisi vigogo waliotajwa na Magufuli kukamatwa

Jeshi la polisi mkoani Mara limetoa notisi ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Mauza Nyakirang’anyi akidaiwa kushindwa kuripoti ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mara kama alivyotakiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa mapema wiki hii....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News