Polisi wauwa majambazi watatu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauawa watu watatu wanaotuhumiwa kuwa majambazi huku wengine wawili wakitorokea kusikojulikana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumzia kuhusu tukio hilo lililotokea jana, Kamanda wa Polisi Kigoma, Martin Ottieno amesema majambazi hao waliuawa wakati wa majibizano ya risasi baina yao na askari polisi katika msitu wa Muyovosi walikokimbilia baada ya kufanya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News