Prof. Assad amjibu Spika Ndugai

USHAURI wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba, Prof. Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ‘akaungame’ kwa Rais John Magufuli, umetupwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jana tarehe 14 Machi 2019 mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Spika Ndugai alimshauri Prof. Assad kwenda kwa rais kueleza ‘amekosea’ ili ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News