Prof. Kabudi: Wameninukuu vibaya, sijasema Azory amefariki

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amekanusha kauli inayosambaa katika mitandao ya kijamii ya kwamba amethibitisha kuwa mwanahabari Azory Gwanda amefariki dunia. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Dk. Hassan Abass, Msemaji Mkuu wa Serikali katika ukurasa wake wa Twitter, imemnukuu Prof. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News