Prof. Lipumba aeleza ‘jeuri’ ya kufanya mkutano mkuu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, ameeleza sababu za kufanyika kwa mkutano mkuu wa saba wa chama hicho, licha ya kuzuiliwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza kwenye mkutano huo wa siku tatu unaofanyika katika ukumbi wa Lekam ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News