Prof. Safari: AG anaweza kutenda jinai

MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, atakuwa ametenda jinai. Anaripoti Hamis Mguta….(endelea). Akizungumzia hukumu hiyo iliyopiga marufuku wakurugenzi wa halmashauri na manispaa kusimamia chaguzi amesema, serikali inayo nafasi ya kukata ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News