Profesa Kabudi awatangazia fursa wenye hoteli Dar

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa hoteli jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni zaidi  ya 1,000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Agosti  2019....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News