Profesa Lipumba atia nyavu Chadema

*Ateta na mbunge wake, Kasulumbayi ajiunga CUF Na MWANDISHI WETU-DAR ES SAALAM MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametega nyavu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku akichukua baadhi ya wanachama wake. Hatua hiyo inatokana na uamuzi wake wa kuamua kuanza ushawishi kwa baadhi ya wabunge wa Chadema, kutaka wamuunge mkono huku mkakati wake huo ukielezwa kuwa huenda ukafanikiwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajiwa kufanyika Oktoba pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Uamuzi huo unalenga kuimarisha CUF ambayo kwa...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News