R. Kelly akubaliwa kuwasiliana na watoto wake

LOS ANGELES MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, Robert Kelly ‘R. Kelly’, kwa sasa ameruhusiwa kuwasiliana na watoto wake, baada ya mke wake wa zamani, Andrea Lee Kelly, kumruhusu kufanya hivyo. Lee na R. Kelly ni wazazi wa watoto watatu akiwamo, Jay, Joann na Robert Jr,  lakini mwanamuziki huyo alizuiliwa kuwasiliana na watoto wake tangu mapema Desemba mwaka jana, kutokana na tuhuma za ubakaji zilizokuwa zikimkabili. Lakini Lee, amewaruhusu watoto wake kuwasiliana na baba yao akiamini wamekuwa watu wazima na  kwa sasa wanahitaji mapenzi ya mzazi wao huyo. “Ni mwezi sasa tangu ...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 8 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News