Rage: Mechi ya Waarabu ilifaa Saa 8:00

Miamba ya soka Misri Al Ahly ilitarajiwa kuwasili nchini saa 9 usiku wa manane kuamkia leo wakitokea Cairo, Misri tayari kwa mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa keshokutwa kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam lakini Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema ilifaa wachezeshwe saa 8:00 jua kali....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News