Raia wa Nigeria, Lativia wadakwa na dawa za kulevya

JESHI la Polisi, Kitengo cha Kuzuia Kupambana na Dawa za Kulevya, limewatia mbaroni raia wawili wa Nigeria na Raia wawili wa Walativia wakiwa na kilogram 20 za dawa za kulevya aina ya Heroin. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 23 Aprili 2019, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP), Alhaji Salim Kabaleke amesema, watuhumiwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 23 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News