Rais agawa kondomu kuomba kura

NA HASSAN DAUDI Safu ya Duniani Kuna Mambo leo imeuangazia Uchaguzi Mkuu wa Cameroon uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo Rais Paul Biya aliyekaa madarakani kwa miaka 35, Paul Biya, anatajwa kuwa huenda akarejea Ikulu. Hiyo ni licha ya uchaguzi huo kutekwa na vurugu, yakiwamo mauaji makubwa yaliyofanywa na jeshi la polisi dhidi ya wakazi wa mjini Bamenda, eneo lililoko Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo. Biya (85), ambaye ndiye Rais mwenye umri mkubwa zaidi barani Afrika, ameliongoza taifa hilo la Magharibi mwa Afrika tangu mwaka 1982. Hata hivyo, kilichowaacha hoi...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News