Rais George H.W. Bush aagwa rasmi

Rais wa 41 wa Marekani George H.W Bush aagwa rasmi katika maziko ya kitaifa yaliyofanyika katika mji mkuu wa marekani na kuhudhuriwa na marais wa awamu mbalimbali wa nchi hiyo pamoja na wageni wa kimataifa na viongozi na wabunge wa chama tawala na wa upinzani....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News