Rais Magufuli aeleza sababu ya kumuondoa January Makamba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amebainisha baadhi ya matatizo yaliyokuwa yakipatikana kwenye Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, ikiwemo ucheleweshwaji wa utoaji wa vibali kutoka NEMC, pamoja na kupokea malalamiko ya wawekezaji kuhusu taasisi hiyo.Akizungumza wakati akiwaapisha Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, leo Julai 22, 2019, Ikulu jijini Dar es salaam, Rais amesema kuna baadhi ya wawekezaji walikuwa wakikwamishwa na NEMC.Magufuli amesema kuwa, "nataka kusiwe na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 22 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News