Rais Magufuli aitaka ATCL kupunguza matumizi

Rais Dk. John Magufuli, amelitaka Shirika la Ndege nchini (ATCL) kupunguza gharama za uendeshaji zisizo za msingi.Ameyasema hayo jana Ijumaa Januari 11, alipokuwa akihutubia viongozi mbalimbali na umati wa wananchi wa jiji la Dar es Salaam waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa zamani (Terminal 1) katika mapokezi ya ndege mpya iliyotua jana  ya Airbus 220-300 Ngorongoro.“Mpunguze matumizi ya hovyo, mhakikishe kila biashara mnayofanya iwe na faida hatutaki biashara za hasara hapa, na mjue ndege hizi tumewaazima mkileta mzaha tutawanyang’anya.“Kuna wakati ndege za ATCL  zilikuwa zinaenda Dubai ila kumbe zikienda kule...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News