Rais Magufuli amtimua uwaziri January Makamba

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa leo tarehe 21 Julai 2019 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa. Taarifa ya Msigwa inaeleza kuwa, George Simbachawene ameteuliwa na Rais Magufuli kuirithi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Saturday, 20 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News