Rais Magufuli Ashiriki Ibada Na Kutoa Heshima Za Mwisho Kwa Marehemu Mercy Anna Mengi

Rais  John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mke wa Dkt. Reginald Mengi, ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Makampuni ya IPP, Mama Mercy Anna Mengi,  katika Kanisa la Azania Front Dar es Salaam.Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, Rais Magufuli amesema: “Ushuhuda uliotolewa hapa na waumini mbalimbali, nina hakika Mama Mercy Anna Mengi ni mtu ambaye alimpenda Mungu na alimtegemea Mungu, na nina uhakika Mungu atamsamehe dhambi alizonazo ili aweze kupumzika kwa amani.”Kwa upande wake, Askofu wa Kanisa la Kiinjili na Kiluteri...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News