Rais Magufuli Ataja Sababu za Kumtumbua Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere

Rais Magufuli ametaja sababu za kumng’oa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, huku akitoa pole kwa walioteuliwa kushika nyadhifa hizo.Rais Magufuli alitaja sababu hizo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni ambao ni Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, Kamishna Mkuu wa TRA, Edwin Mhede na Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Kichere.Katika mkutano huo, Rais Magufuli alishuhudia Kampuni ya Bharti Airtel ikiikabidhi serikali gawio la Sh. bilioni tatu la miezi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News