Rais Magufuli Atoa Onyo Kwa Viongozi wanaotoza pesa wafanyabiashara wenye vitambulisho

NA AVITUS BENEDICTO KYARUZI , KAGERAOnyo imetolewa kwa Viongozi wanaotoza pesa wafanyabiashara wenye vitambulisho vilivyotolewa na Rais Magufuli  kuacha vitendo hivyo mara moja.   Maagizo hayo yametolewa  julai 11 mwaka huu na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia wananchi katika eneo la Rwamishenyi lililopo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakati akiendelea na ziara yake mkoani hapa. “Mimi ninafahamu shida za wananchi hawa wanazozipata nikasema nitatoa vitambulisho. Kwa mwenye kitambulisho nilisema afanye biashara kokote na asihonge hata senti tano, akija Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News