Rais Magufuli Atoa Salamu Za Pole Kwa Majeruhi Sita Wa Ajali Simiyu, Wakiwemo Waandishi Watano

Na Stella Kalinga, SimiyuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa pole kwa waandishi wa habari watano wa Mkoa wa Simiyu na Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dkt. Titus Kamani waliopata ajali katika wilayani Meatu, wakati akiwa ziarani wilayani humo, salamu ambazo zimewasilishwa kwa niaba yake  na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, ambaye aliwatembelea katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu walikokuwa wakipatiwa matibabu.Akiwasilisha salamu za Mhe.Rais,  jana jioni Mhe. Mtaka amesema magari matano ya Simiyu ya Serikali na gari binafsi yaligongana...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News