Rais Magufuli Awaambia Watanzania Wazae tu.....Asema Kama Mtu Unachapa Kazi, Uzazi wa Mpango wa Nini?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema yeye sio muumini sana wa sera ya uzazi wa mpango kutokana na sera hiyo kusababisha upungufu wa nguvu kazi kwa taifa.Rais Magufuli ameyasema hayo jana, kwenye mkutano wa hadhara aliofanya wilayani Meatu mkoani Simiyu ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo amesisitiza watanzania waendelee kuzaa lakini wachape kazi ili kuwatimizia mahitaji muhimu watoto wao.''Najua Waziri wa Afya Ummy Mwalimu hapa angependa kuongelea mambo ya uzazi wa mpango lakini mimi mengine huwa sikubaliani...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News