RAIS MAGUFULI AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KULIOMBEA AMANI TAIFA

Na ANNA POTINUS Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amewataka maaskofu na mashekhe nchini kuendeleza maombi kwa ajili ya amani ya nchi kwa kuwa ndiyo inayokuza uchumi wa nchi. Rais amesema hay oleo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa daraja la mto Sibiti na barabara unganishi ya mkoa wa Singida na Simiyu. “Maaskofu na mashekhe mna jukumu kubwa la kuiweka Tanzania kwenye mikono ya Mungu kwani maombi yenu yanasikika zaidi yetu wenye dhambi hasa mimi,” alisema “Ninawaomba kila mmoja wetu awe muhubiri wa amani kwani tunaihitaji...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News