Rais Mstaafu Mwinyi Kasema Hajafurahishwa na Kitendo cha January Makamba Kuweka Picha Yake Baada ya Kutumbuliwa

Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi amesema hajafurahishwa na kitendo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba kutumia picha waliyopiga pamoja mitandaoni muda mfupi baada uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.Katika picha hiyo, ambayo January aliiweka muda mchache baada ya rais kutengua uteuzi wake ikimuonyesha yeye na Mwinyi wamekaa kwenye viti viwili tofauti, ambapo aliandika;“Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Nitasema zaidi siku zijazo.”Mwinyi amesema hakuona ubaya wa picha ile na wala hakuchukizwa nayo kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 22 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News