RAIS PUTIN AMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI KIM JONG-UN

MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amemtumia ujumbe wa salamu za pongezi mwenzake wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, kwa taifa hilo kutimiza miaka 70 ya kuanzishwa kwake. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), Rais Putin alituma salamu hizo za pongezi jana kwa njia ya telegram akieleza kuwa ana uhakika mataifa haya mawili yataendelea kushirikiana katika nyanja mbalimbali. Shirika hilo lilieleza kuwa katika salamu hizo, Rais Putin alielezea pia kwamba ana uhakika Serikali za Moscow na Pyongyang zitafanya mazungumzo ya kimataifa yatakayosaidia kujenga  ushirikiano  zaidi katika...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News